GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, June 3, 2011

Siku Peter .C. Shirima alipofunga pingu zamaisha na Swahiba. H. Mndeme. Nawaonjesha kidogo jinsi mambo yalivyo jiri. Chakula bado kiko jikoni

Peter na my wife wake Swahiba. Safi sana hakika walipendeza sana

SafiNice
Namuona Peter akishow Love

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Safi sana

Bi harusi akiwa na wasaidizi wake

Mke wa Peter C Shirima. Safi sana Swahiba hakika ulipendeza sanaMume wa Swahiba  bwana Peter C. Shirima
Wasimamizi wakiingia ukumbini

Maharusi wakiingia ukumbini


Mume lazima umpende mkeo namna hiiBongo FlV naipenda .....Oye  Safi sana. Jamani mimi katika kitu ambacho sikijui nikuchezaga kwaito!

Maharusi wakikata keki
Hakika mpambaji aliutendea haki ukumbi

Dah msosi usiseme kama kawa alikuwa Dorkasi

Kwakweli Peter anashow love. naona anampakulia chakula Swahiba
Safi sana