GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, June 20, 2011

Siku Robert alipofunga pingu na Angel Hakika ilikuwa ni siku ya kipeke kwa maharusi hawa. Grm tunawatakia maisha mema yenye furaha, amani na Upendo

Robert akiwa na my wife wake Angel Safi sana na hakika walipendeza sana

Nimekubali hili swagga

Safi sana
Dah no comment
Mume wa Angel

Bestman


Mke wa Robert
Maharusi wakiwa na wasimamizi waoMwenye wivu ajinyonge!Biharusi akiwa na Matron wake
Matron
Bestman

Nikaona namimi nitowe swagga na Maharusi

Vijana wangu nao wakatowa swagga Salee, Noel na Sudi boy!