GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Sunday, November 14, 2010

Leo Asubuhi ofisini kwangu nilivamiwa na hawa wanamitindo wanao chipukia kwa kasi kubwa na kuniambia kama kuna dili lolote nisiwasahau. Wako tayaki kupiga kazi. Nikawaambia hakuna maneno kwa sasa sina dili la kuwapa ila nitaongea na wadau kama kuna mdau anadili basi vijana wako tayari. Dili wanalo taka ni matangazo au hata kucheza filamu