GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, November 20, 2010

Family Moments na Grm Production. Leo asubuhi nimewatembelea ma model wangu wanao chipukia kwa kasi. Niliona ngoja niwapeleke maziwa kama zawadi ya kunisapoti. Kama Kawa walipo ona kamera wakanipa Swaga kidogo. Hao ni Simon Na Miss Sasha. Aksanteni sana. Wadau weekend njema.