GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, November 24, 2010

Dah hivi vitu inabidi viwekwe kwenye makumbusho. Hiyo redio na santury nazani vilitengenezwa mwaka 1923. Ukitaka kuviona basi wewe pita Kilima Kyaro Moshi. Wachaga kwa kuhifadhi vitu vya zamani nazani wanaongoza!

Na bado inafanya kazi

Hapa ni FM imemisi tuu lakini inapiga mzigo