GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, November 22, 2010

Wale warembo kaeni mkao wakula. Kama mnavyo ona kwenye picha hii ni mashine ya kupaka rangi kucha. Inachukua sekunde 10 kufuta na kupaka rangi kidole kimoja. Hi inamaana kila unapo vaa nguo fulani basi unaweza kumechisha na rangi yakucha. zipo pia mashine ndogo. Nitawapa habari zaidi mzizo utakapo tuwa bongo. Kuna rangi zaidi ya 200.