GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, November 12, 2010

Kama unavyojuwa GRM Production inashuhulika na upigaji picha na video kwahiyo katika movie hii ya Young Billionaire kuna kipande ambacho kinaonyesha Aunty Ezekiel akipiga picha. na hivi ndivyo ilivyo kuwa. Na location yenyewe ni Grm Studio