![]() |
Huyu Dada kwa pozi si mchezo. Kweli anajuwa Swaga |
![]() |
Dada Jenifa. Nahuyu kwenye uigizaji wa filamu naye yumo |
![]() |
Hi picha niliipenda sana. Inaweza kutumika kwenye matangazo. |
![]() |
Dah hapa inaleta mahaba |
![]() |
Dada utafika mbali katika fani hii |
![]() |
Huyu dada pia ni mtaalamu wa mambo ya vipodozi. |
![]() |
Hili tabasamu niliwatime. sio lakufoji. Hapa walijiachia. |
![]() |
Swaga nyingine hii |
No comments:
Post a Comment