![]() |
Kabla ya kazi kuanza Visura walirembwa kidogo. Siunajuwa mwanamke urembo! |
![]() |
Safi dada |
![]() |
Nimekubali Dada na swagga la Samaki. |
![]() |
Simchezo |
![]() |
Safi |
![]() |
Nice |
![]() |
Safi sana |
![]() |
Cheza na Mtumbwi. |
![]() |
Swagga la nyoka |
![]() |
Kweli umepikwa ukapikika. Safi sana dada |
![]() |
Sina chakusema hapa. Ila safi sana. |
![]() |
Swagga la Kisura Gaga |
![]() |
Safi sana. Wadau kaeni mkao wakula nawaletea Top 10 visura. |
kweli warembo walipendeza sana,hivi jamani yule kisura wa kimasai yupo wapo?
ReplyDelete