GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, March 2, 2011

The Making of The Emelda Show. Wadau kaeni mkao wakula hili ni Bonge la show Coming Soon. Wapi na lini nitawajulisha.

Emelda on Set.

Simchezo hii set nimeikubali. Nice

Safi sana. Hapa ni ndani ya GRM Studio. Hakuna kinachoshindikana.

Dada Emelda on Set


Nikijadiliana na Host kabla ya kuanza kurekodi kipindi

Nikienda nyuma ya Camera

Kabla ya kipindi kuanza tulipiga sala

Huyu jama ndio ametengeneza hii set.

On Set Emelda akiwa na mgeni wakwanza katika show dada Brenda Msangi 

On Set

On Set Emelda na wageni wakijadiliana.

Baada ya kumaliza kurekodi wageni walipiga picha ya pamoja

Mart Materu, Emelda,Mama Rose Kimati na Brenda Msangi. 

Mary G Materu Yeye ni Senior Nutritionist. 

Director wa show Loretta Mugaragu akiwa na mama yake Rose Kimati. 

Mtaalamu  wangu wa Sound Mkusa aka Paster Firi

Nikiwa na vijana wangu  Mkusa, Noeli, GM na Lusubilo

On Set. Kama  nilivyosema nitaendelea kuwapa habari kuwa kipindi kitaruka wapi na lini.