GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, March 19, 2011

Visura walio tinga kumi bora. Hapa Pamba walizotupia ni ubunifu wa Vida Mahimbo na Ally Ramtulla

Mshindi wa kisura 2011 Letina

Dah huyu kisura alikuwa na mashabiki wengi  sana. Lilian

 Duh simchezo Dada Joyce

Safi sana Neema H

Hata huyu alikuwa na washabiki wengi sana. Ilibidi kuwe na Sita bora badala ya Tano bora. Kweli majaji walikuwa na kazi ya ziada. Jina lake ni  Neema k. Hongera kwa kutinga tatu bora

Towa swagga dada Silipa. kweli nitamiss hili swagga

Safi dada Suzan

Flaviana hongera kwa kutinga tatu bora

Safi sana Grace

Tutakumiss dada Glory

Letina Hongera sana mshindi. Ushauri  wangu usijiachie unenepe kama unataka kuendelea kwenye hii fani.
Nitazidi kuwaletea mambo kadri muda unavyokwenda. kwasababu bado wabunifu wengine na picha ni nyingi sana