GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, March 14, 2011

The Making of Fema TV Talk Show

Setup ikiwa tayari. Kama Kawa hapa ni ndani ya Studio zetu. GRM Studio

Tukisubiri kuanza kurekodi kipindi

Hapa ni jinsi maandalizi yalivyokuwa yanafanyika

Camera man wakiwa tayari kuanza kazi

Namuona producer akitabasamu baada ya mambo kwenda vizuri. Safi sana Josh

Wataalamu toka Fema. Safi sana dada

On Set

Nembo ya kipindi