GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Sunday, March 20, 2011

Visura walio tinga Top ten katika muonekao wa Kiasili na Diana Magesa toka Morogoro

Mshindi wa kisura 2011 Letina akikamua

Neema  safi sana

Letina on Set

Huu ubunifu nimeukubali. nice

Glory on Set. Safi sana

Neema H on Set Safi sana

Hichi kivazi nasikia Lady Gaga anakitaka

Silipa on set safi sana

Nice

Dada  Lilian utafika mbali. Safi sana


Joyce on Set

Dada Joyce na maswagga yako simchezo safi sana

Flaviana on Set

Nice

Safi sana Umeweka historia mpya katika mkoa wa Dodoma kwakutinga tatu bora

Suzan on Set


Safi sana

Kweli Grace umelitendea haki hili vazi

Safi sana

Safi sana visura kwakweli mnatisha. Bado nitazidi kuwaletea mambo yalivyo jiri.