GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, March 25, 2011

Niko kwenye Semina Elekezi kuhusu mambo ya Upigaji Picha. Mkufunzi ni Charlotte Haslund kutoka Denmark.

Nikiwa class na Baadhi ya washiriki Kushoto kwangu ni Anton Siame na Kulia Bernard Rwebangila. Semina hii imeandaliwa na Nafasi Art Space Mikocheni

Mkufunzi akiendelea kushusha manondos Ukumbi wa Nafasi Art Space
Charlotte akielezea jambo

Semina ikiendelea

Hapa tunasoma kwavitendo pia

Washiriki wakionyesha kazi zao

Namuona Anton akiwa makini kabisa.

Tukifanya Presentation

Charlotte Haslund. Kweli nifuraha sana kukutana na mpiga picha ambaye yuko kwenye top ten duniani. Ukitaka kuangalia kazi zake tembelea huku
www.charlottehaslund.com