GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Saturday, March 19, 2011

Breaking News Kisura wa 2011 ni Letina Cristopher. GRM Production tunakupongeza sana.Hongera sana

Mshindi wa Kisura 2011 ni Letina Christopher 

Letina Akitowa swagga la Ushindi

Walio ingia tatu bora ni hawa

Mshindi wa mwaka jana akimkabizi taji Letina

Letina akipokea taji!toka kwa mshindi wa mwaka jana

Kama kawa hizi nguo za ushindi ni mambo ya Zilpa Nkurlu.

Letina akipongezwa na ndugu pamoja na wazazi

Mambo ya Zilpa Fashions. Mama wa 8020 huwa anasema Back to Africa

Dada Juli Urio alipokuwa akitangaza mshindi. Kwakuwa ndio shindano limekwisha sasahivi kaeni mkao wakula nitawaletea jinsi mambo yalivyojiri.  Pia nitawakumbusha safari ya huyu dada toka tulipo anza odition mikowani.