GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, March 21, 2011

Siku Rodney alipofunga pingu za maisha na Lilian. Hakika ilikuwa ni siku yafuraha kwa maharusi hawa pamoja na ndugu jamaa na marafiki. Nawaonjesha kidogo jinsi mambo yalivyokuwa!

Rodney akiwa na Wife wake Lilian

Hakika mmependeza


Nice

Super

Safi sana
Nice

Kama Obama

Huwa inapendeza pale Bibi harusi anapolitendea haki gauni. Safi sana

Super

Unatisha Lilian. Rodney Upo!!!


Safi sana.Maharusi wakiwa na wasimamizi wao. Namuona Wolta

Lilian akiwa na Matron wake

Nice

Safi sana


NiceKanisa walikofungia pingu za maisha Kijitonyama Lutheran

Mpaka kanisa lilipambwa.

Maharusi wakipata neno takatifu

Rodney akimtandika pingu Lilian

Lilian akimtandika pingu Rodney

Rodney akisine mkataba wa kuishi pamoja

Lilian akisine mkataba wa kuishi pamoja

Wolter naye alisine kama Shahidi.

Matron naye alisine


Msafara wa harusi

Maharusi wakikata keki

Raha Kupakuliwa chakula. Safi sana!

Kamati ya Maandalizi