GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, March 17, 2011

Siku Erick alipo funga pingu za maisha na Deborah. Kwakweli ilikuwa ni siku ya furaha sana kwa Maharusi Hawa pamoja na Ndugu, Jamaa na Marafiki. Nawaonjesha Kidogo jinsi mambo yalivyo jiri

Erick na My wife wake Deborah

Safi sana

Nice

Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Erick akiwa na Bestman wake

Safi kaka

]
Hakika Mmependeza


NiceSafi sana Mrs Erick aka Deborah


Nice Naona wanashow Love

Gari lililobeba maharusi

Kanisa waliko fungia pingu

Erick akikabiziwa Mkewe na baba Mkwe

Maharusi wakipata neno takatifu kansani

Neno Takatifu likiendelea

Erick akimtandika pingu Deborah

Pingu

Deborah naye akamtandika pingu Erick

Erick akisine mkataba wa kuishi pamoja

Deborah akisine mkataba wa kuishi pamoja

Maharusi wakikabiziwa mikataba yao yakuishi  pamoja

Nice

Wapambaji waliutendea haki ukumbi wa Karimjee 

Keki ya Harusi

Nice

Nimependa ufunguaji huu.


Maharusi wakikata keki

B Band( Banana) alikuweko

Mila zilizingatiwa

Kama kawa kwenye mambo ya msosi alikuweko Dorka Catering