GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, August 15, 2011

Upendo's Night! kwakweli ulikuwa ni usiku wakipeke hapa Moshi Mjini katika ukumbi wa YMCA. Nawaonjesha kidogo jinsi mambo yalivyojiri

Mke mtarajiwa Bi Upendo James Benne

Safi sana

Mume mtarajiwa wa upendo akishow love


Matron

NiceUpendo aki show love kwa Mama. Safi sanaDada
Bibi naye alikuweko


Bibi akitowa swagga


Upendo akiwa na kaka Mkubwa

Kaka akitowa swagga

Kaka na Dada

Nice


Wadau toka DSM. Safi sanaNice

Nasubiri kwa hamu hi Harusi


Hakika ni full in Love

Nice


Safi sana


Mama yake Upendo

Namimi nikatowa swagga. Hakika moshi Mjini weekend hii palikuwa hapatoshi

Jana nikapata mtura chagga bite Moshi.

Dah simchezo