GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, August 29, 2011

Kikazi Ndani ya A-Town

Weekend hi tulivamia jiji la Arusha. 

Nikitowa swagga Mazingira ya jiji la Arusha. Hapa ni Stereo hotel Kwa mdau mkubwa wa GRM


Mta kwa Mta

Kama kawaida nilikwenda kupata mtura. Simchezo hapa ni ken-garden

Mtaalamu wa michemsho

Mtura ukiwa jikoni

Kweli hi sehemu niliikubali. Pametulia unakula swala huku ukisikia milio ya ndege. Panaitwa Sundance

Mazingira tulivu

Ndege walio kuwa wanatuburudisha

Kaa mkao wakula nitawaletea yaliyojiri Arusha. kwakweli nilikubali