![]() |
Shadrack akiwa na my wife wake Irine. Hakika walipendeza sana |
![]() |
Mume na Mke |
![]() |
Safi sana Mke wa Shadrack |
![]() |
Shadrack aka Mume |
![]() |
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao |
![]() |
Swagga |
![]() |
Kanisa walipofungia pingu |
![]() |
Mheshimiwa baba Askofu ndio aliwafunga pingu |
![]() |
Shadrack akimtandika pingu Irine |
![]() |
Irine akipokea pingu |
![]() |
Irine akimtandika pingu Shadrack |
![]() |
Dah maharusi waki sign mikataba ya kuishi pamoja hadi kifo kiwatenganishe. |
![]() |
Namuona Irine akiwa makini kabisa. Hee inapendeza pale mume na mke wote wakiwa left hand. Hakiwa watoto lazima wazaliwe mapacha! |
![]() |
Keki safi sana |
![]() |
Kamati |
![]() |
Bwana harusi akikata ndafu safi sana |
No comments:
Post a Comment