![]() |
Belinda Safi sana |
![]() |
Namuona hapa patrick akiwa mpole. Alikuwa bado hajakabiziwa mwali |
![]() |
Nimeikubali hi keki |
![]() |
Hakika wapambaji waliutendea haki ukumbi |
![]() |
Bi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini |
![]() |
Belinda akiteta neno na Matron wake |
![]() |
Kama kawa mila lazima idumishwe. Pamela akiingia na sanduku |
![]() |
Belinda akikata keki |
![]() |
Patrick akitabadamu baada ya kumuona mwali |
![]() |
Patrick akisakata rumba na best man wake |
![]() |
Nimekubali hili swagga |
![]() |
Mwisho wa kunuku! |
No comments:
Post a Comment