GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, December 4, 2012

The Wedding of Richard Mllatie and Jackline Ghikas. Dokoa Kidogo tu!

R.Mllatie akiwa na My wife wake Jackline. Safi sana hakika walipendeza sana

In Love

The Kiss


Nice


Hakika Jackline alilitendea haki gauni lake la Harusi


Safi

Nice


Safi
Dah Hakika Mllatie alitendea haki hii suti. Dah kama kawa Sheria Ngowi ndio kafanya mambo. Itabidi namimi nimtafute anifyetulie japo suti moja ya X-mass


Nice


Dah nimekubaliDah safi sana


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao Bestman and MatronNimekubali baba

The Boys


NiceDah Nimekubali hili Swagga la Kilimo Kwanza

Magari sikuhizi nayo yanatowa swagga.

Safi

Duuuuu


Magari yaliyobeba maharusi

Mambo ya Msosi yalikuwa chini ya Mama Dorkas . Safi sana

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa mlimani city

Keki. Nimeikubali


Pingu


First Dance
Mwisho wa kunuku. Chakula bado kiko jikoni.