GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, December 18, 2012

Airtel End Of Year Party 2012. Onja Kidogo Jinsi mambo yalivyojiri

Hakika ilikuwa bonge la party. Na ilikuwa Ni swagga za Kiafrika Zaidi

Hakika Mpambaji aliutendea haki ukumbi wa Serena Hotel

Kiafrica zaidi


Jamani Mwisho wa kunuku. Kwa Wafanyakazi wa Airtel picha zaidi zitapatikana kwenye ile web yenu.