GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, December 28, 2012

Dah Kwakweli Naomba Niupongeze uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa Usafi. Dah Kweli Moshi mjini inastaili sasa kuwa JIJI.

Manzari nzuri ya Moshi Town. Safi sana

Dah Yani mji ni msafi. Kiatu kikiwa na matope unakamatwa na unaambiwa ufute hayo matope unatuchafulia mji wetu!

Aika Mbee nimekubaliDah Safi sana

Kwakweli hauwezi kusifia usafi wa mkoa wa kilimanjaro bila kusifia pia utamu wa nyama choma za huko. Hapo ni Super model wetu Simon  akikaribishwa Kwa ndafu.