GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, September 30, 2011

The wedding of Marwa na Isabella Na beep kidogo tu. Jamani wadau nawatakia Weekend njema

Marwa na Isabella. Hakika walipendeza sana. Mwenye macho haambiwi tazama!


Nice
Nimekubali haya maswaggaSafi

Hakika Isabella umelitendea haki gauni

Marwa aka Mume wa Isabella

Si Mchezo. Mke wa Marwa 

LoveMaharusi wakiwa na wasimamizi wao. Bestman na Matron
Best Man na Matron


Nimekubali mambo ya sikuhizi. sio lazima tuvae suti nyeusi. Safi sana Marwa na Best man  hakika umeitendea haki suti

Safi sana


Safi sana

Janami mwisho wa kunuku