GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, September 16, 2011

Vifaa vipya vya kazi katika season 3. Hapa ilikwa last week Mlimani City-Miss Tanzania. Tulifunga Craine ndefu kuliko zote Tanzania.

Craine Iliyo weka historia. 

Stage. Halika mpambaji aliutendea haki ukumbi

Vijana wangu wakifunga Craine. Nakumbuka ilituchukuwa kama masaa matatu kuifunga

Tukiwa busy kufunga Craine

Baba walili naye akiwa busy. Hawa nivijana wangu nawaitaga majina ya utani

Timba, Sudi, Noel na Mapesa wakiwa busy

Gafla tukaona paa la mlimani city ni fupi

Nimeikubali hi Craine. kuna movie tunatengeneza ambayo inatarajia kuanza december basi hichi ni kifa mojawapo kitakacho tumika


Mtaalamu akiangalia setting za mwisho. Hakika aliikubali

Hi ni Dolly. pia tuliifunga 

Hapa mamiss walikuwa wanafanya mazoezi kabla ya shindano lenyewe