GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, September 12, 2011

Siku Deo alipofunga pingu na Irene. Chakula bado kiko jikoni. Nawaonjesha kidogo tu!

Deo akiwa na my wife wake Irene


Hakika walipendeza sana


NiceNice Safi sanaPapa G

Hakika inapendeza sana more than 8 yrs bado ni marafiki

E na my wife wake. Safi sanaNamuona Mr C .M akitowa swagga

Maharusi wakiingia kanisani kwa kishindoDeo akimtandika Irene Pingu


Irene akimtandika Deo pingu


Keki- Safi sana
First DanceNdafu kama kawa lazima mila idumishwe

Mwisho wa kunuku