GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, June 28, 2012

Coming soon. Onja Kidogo. Siku rafiki yangu Respiki alipofunga pingu za maisha!

Bwana Harusi akijianda kwenda kanisani


Bi harusi akielekea kanisani. Safi sanaKanisa walipofungia pinguMr and Mrs. Details mtazipata next timeNamimi nilikuwa mwanakamati. Dah nilivunja kabati!Kama nilivyosema chakula hata hakijaanza kupikwa. Kikiwa tayari nitakipakuwa

Monday, June 25, 2012

Patricia's Ladie Party. Onja Kidogo. Chakula bado kiko jikoni

Patricia Hongera  Hakika ulipendeza sana


Nice

Matron wa Patricia

Nice
Patricia na Matron wake
Kama Kawa tulifunga Mobile studio


Patricia akiingia ukumbini

Nice
Nimependa mpambaji alivyopamba. Safi sana
Nice


Safi sana DR aka MRS  C MagavillaNice
NiceKwakweli napenda kuipongeza hi kamati ya shuhuli. Ilifanya kazi kubwa sana.

Jamani mwisho wa kunuku