![]() |
| Bwana Harusi akijianda kwenda kanisani |
![]() |
| Bi harusi akielekea kanisani. Safi sana |
![]() |
| Kanisa walipofungia pingu |
![]() |
| Mr and Mrs. Details mtazipata next time |
![]() |
| Namimi nilikuwa mwanakamati. Dah nilivunja kabati! |
![]() |
| Kama nilivyosema chakula hata hakijaanza kupikwa. Kikiwa tayari nitakipakuwa |













































Sii nzuri hata kidoogo. Pia jaribu kuwapa maharusi pozi tofauti tofautii. Usipo post poaaa lkn msg umeipata. Bibi harusi karembewa uswahilini.
ReplyDelete