GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, December 6, 2010

Siku PMC alipopata jiko. Nakumbuka palikuwa hapatoshi.

PMC & Wife-Grace


PMC katika pozi

Dr Pendo & wife .Hawa ni wasimamizi wa harusi hii

Maharusi walipata picha ya pamoja na Wasimamizi wao

Moja ya Swaga la Bi Harusi

Wow kweli ulipendeza

Dah Kama obama

Maharusi wakipata picha na Baadhi ya wanakamati

Keki

Papa G akiwasili ukumbini akiambatana na Mama Yake mzazi. Namkumbuka sana mwalimu Kaaya alivyokuwa anatufundisha Tution enzi hizo.

Baada ya kazi nilipata picha na maharusi. kulia ni Diwani Mheshimiwa P . Tarimo