GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, December 17, 2010

Breaking News Dimond Kuwa DJ kwenye bongo Star Search (BSS)? Ngoja niwapatie maandalizi ya mwisho kabla ya shuhuli yenyewe jioni ya leo

Dimond akifanya mazoezi ya mwisho kabla ya shuhuli yenyewe ya BSS Final

Dj Choka akiwa kazini

Safi sana jama anatisha. Kwawasio fahamu blog inayotazamwa na watu wengi hapa Tanzania ni ya huyu jamaa. DJ choka. Hongera sana.

Kama kawa wakanipa swaga mbili tatu.

Dimond mzee wa mbagala na DJ Choka.

Nikaona namimi ngoja ni show love

Vijana wakipasha mazoezi ya kudance. Leo kutakuwa hakutoshi pale mlimani city

Vijana wanatisha

Kuwakilisha sio mbaya

Hapa alikuwa anapiga wimbo wake mwenyewe. 'mbagala'. Kumbe Dogo kwenye udj uko fiti.