GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, December 9, 2010

Airtel yafanya bonge la party lakufunga mwaka(End of Year party katika ukumbi wa Mlimani City. Kama Kawa GRM Production tulikuwa ndani ya nyumba. Na Hi ni Part 1 ya mambo yalivyokuwa. Behind the Scene

Kikosi kamili cha Grm Producton

Tukipozi picha ya pamoja

Kijana wangu mwingine wa picha Sale

Kamera man wangu akijaribu reli

Ilikuhakikisha mambo yanakwenda vizuri na tunafuatilia matukio yote tulifunga control center. kijana wangu wa sound akiwa makini. hapa tulifunga video mix , Audio Mix, Imac, Macbookpro etc.

Muonekano wa stage

Lusubilo akifunga projector

Vijana wa Mze Minja wakiwa kazini. Hawa ndio walifunga sound ambapo Alikiba naye aliimba ule wimbo wa One8Kama unavyojuwa shuhuli haiwezi kukamilika bila kupambwa . kama kawa Lotus Creative Concepts walifanya mambo makubwa sana kwenye upambaji

Mambo ya Lotus

Dah jama wanatisha

Mpaka wahudumu nao walipambwa!

Ukumbi ulipendeza sana


Hapa palikuwa pakupigia picha. Hili kochi limejizolea sifa Africa.  Nitawaletea yalio jiri hapa kwenye kochi

Kama kawaida tuliweka mobile studio yetu hapa 

Nikiwa kazini

Huyu dada  kushoto ndio aliyekuwa anashuhulikia mambo ya vinywaji 

Kweli hawa ni wataalam

Kama Kawa Nyama choma zakumwaga