GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, March 8, 2011

Hatimaye JP (Alfred Elia) afunga pingu zamaisha na Angela Ngaillo. Kwakweli ilikuwa nisiku ye kipekee. Sitaki kusema mengi jione mwenyewe jinsi sherehe ilivyofana.

JP akiwa na My Wife wake Angela Ngaillo

Safi sana Kwakweli mpependeza. GRM inawatakia maisha mema yenye furaha na upendo.

Nice

Safi sana Mrs JP au AngelaJP akitowa swagga

Safi baba

Mwenye wivu ajinyonge.

Safi Angela


Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Matron

Maharusi wakitowa swagga na Miraji

Bestman


Simchezo Safi sana.


Nice

Nimewakubali Kweli mmependeza


Safi sana

Gari lililobeba maharusi

Kanisa walilofungia pingu za maisha. Mbezi Beach Lutheran Church

Kanisani

Kweli watu walifurika kwawingi kanisani kushuhudia harusi hii

Maharusi wakila neno takatifu

JP akimtandika pingu Angela

Angela akimtandika pingu JP

JP akisign mkataba wa kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe

Nakumbuka hapa JP alisita kidogo akaambwa ni mpaka kifo mkuu sign Baba!

Baada ya  kusign JP alitaka aondoke na mkataba akatowe photocopy basi mchungaji akamwambia mbona tunakupa Mkataba orginal ulio sign na Hapo akatulia

Angela naye akasign mkataba wa kuishi pamoja

Maharusi wakitabasamu baada ya kusign mkataba wa kuishi pamoja

Matron akimpongeza bi Angela

Hapa JP akitowa swagga. Nakumbuka alikuwa anaahidi watoto watatu.

Baada ya kufunga pingu huu msalaba kwanyuma kama ulitowa mwanga!

Wanakamati wakiwa makini kufuatilia kama mambo yako super huko ukumbini. Mlimani City 

JP akipongezwa na Mdau toka USA. Jama kapanda pipa kuja kwenye Harusi. Safi sana

Maharusi na wasimamizi wao nje ya kanisa

Katika Reception wageni mbalimbali walihuzuria. Hapa Ni Muheshimiwa Waziri mkuu mstaafu F.Sumaye akiwasili

Ma MC wa sherehe

Mheshimiwa Mbatia na mkewe wakiwasili ukumbini 

Mheshimiwa Mrema naye alikuweko

Baada yakuingia ukumbini  maharusi walifungua music. Kweli wapambaji waliutendea haki ukumbi. Safi sana

Nice

Dah hapa baada maharusi kufika kwenye meza yao basi mambo yalikuwa kama unavyoona kwenye picha

Keki ya harusi

Dada akitowa burudani kwa maharusi na Wageni Waalikwa.

Riziwani akifungua Shampeni. Safi sana kweli umependeza pamoja na my wife wako. Kwenye kila meza kulikuwa na shampeni

Riziwani akifungua shampeni

Miraji akifungua shampeni

Bwana harusi JP akifungua shampeni

Mheshimiwa waziri naye alifungua shampeni

Hi shampeni ilifunguliwa na Bwana harusi.


Naye alikuweko

Wazee wa Akapela nao walikuweko. Hawa jama ni noma

DJ Boni alikuweko

Dance. Safi sana . 

Naona dogo akikamua. Niipomuuliza unampenda mwanamuziki gani aliniambia Dogo Janja. Duh!

Kamati ya Maandalizi.