![]() |
| JP akiwa na My Wife wake Angela Ngaillo |
![]() |
| Safi sana Kwakweli mpependeza. GRM inawatakia maisha mema yenye furaha na upendo. |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Safi sana Mrs JP au Angela |
![]() |
| JP akitowa swagga |
![]() |
| Safi baba |
![]() |
| Mwenye wivu ajinyonge. |
![]() |
| Safi Angela |
![]() |
| Maharusi wakiwa na wasimamizi wao |
![]() |
| Matron |
![]() |
| Maharusi wakitowa swagga na Miraji |
![]() |
| Bestman |
![]() |
| Simchezo Safi sana. |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Nimewakubali Kweli mmependeza |
![]() |
| Safi sana |
![]() |
| Gari lililobeba maharusi |
![]() |
| Kanisa walilofungia pingu za maisha. Mbezi Beach Lutheran Church |
![]() |
| Kanisani |
![]() |
| Kweli watu walifurika kwawingi kanisani kushuhudia harusi hii |
![]() |
| Maharusi wakila neno takatifu |
![]() |
| JP akimtandika pingu Angela |
![]() |
| Angela akimtandika pingu JP |
![]() |
| JP akisign mkataba wa kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe |
![]() |
| Nakumbuka hapa JP alisita kidogo akaambwa ni mpaka kifo mkuu sign Baba! |
![]() |
| Baada ya kusign JP alitaka aondoke na mkataba akatowe photocopy basi mchungaji akamwambia mbona tunakupa Mkataba orginal ulio sign na Hapo akatulia |
![]() |
| Angela naye akasign mkataba wa kuishi pamoja |
![]() |
| Maharusi wakitabasamu baada ya kusign mkataba wa kuishi pamoja |
![]() |
| Matron akimpongeza bi Angela |
![]() |
| Hapa JP akitowa swagga. Nakumbuka alikuwa anaahidi watoto watatu. |
![]() |
| Baada ya kufunga pingu huu msalaba kwanyuma kama ulitowa mwanga! |
![]() |
| Wanakamati wakiwa makini kufuatilia kama mambo yako super huko ukumbini. Mlimani City |
![]() |
| JP akipongezwa na Mdau toka USA. Jama kapanda pipa kuja kwenye Harusi. Safi sana |
![]() |
| Maharusi na wasimamizi wao nje ya kanisa |
![]() |
| Katika Reception wageni mbalimbali walihuzuria. Hapa Ni Muheshimiwa Waziri mkuu mstaafu F.Sumaye akiwasili |
![]() |
| Ma MC wa sherehe |
![]() |
| Mheshimiwa Mbatia na mkewe wakiwasili ukumbini |
![]() |
| Mheshimiwa Mrema naye alikuweko |
![]() |
| Baada yakuingia ukumbini maharusi walifungua music. Kweli wapambaji waliutendea haki ukumbi. Safi sana |
![]() |
| Nice |
![]() |
| Dah hapa baada maharusi kufika kwenye meza yao basi mambo yalikuwa kama unavyoona kwenye picha |
![]() |
| Keki ya harusi |
![]() |
| Dada akitowa burudani kwa maharusi na Wageni Waalikwa. |
![]() |
| Riziwani akifungua Shampeni. Safi sana kweli umependeza pamoja na my wife wako. Kwenye kila meza kulikuwa na shampeni |
![]() |
| Riziwani akifungua shampeni |
![]() |
| Miraji akifungua shampeni |
![]() |
| Bwana harusi JP akifungua shampeni |
![]() |
| Mheshimiwa waziri naye alifungua shampeni |
![]() |
| Hi shampeni ilifunguliwa na Bwana harusi. |
![]() |
| Naye alikuweko |
![]() |
| Wazee wa Akapela nao walikuweko. Hawa jama ni noma |
![]() |
| DJ Boni alikuweko |
![]() |
| Dance. Safi sana . |
![]() |
| Naona dogo akikamua. Niipomuuliza unampenda mwanamuziki gani aliniambia Dogo Janja. Duh! |
![]() |
| Kamati ya Maandalizi. |










































































jaman mlipendeza sana jp..mungu awabariki jaman sanaaaa
ReplyDeletebibi harusi mashallah!!!!duhh, i luv the dress..
ReplyDeletekuna picha ziko dark kidogo kama na mimi nilienda waling'aa..picha zimekuwa dark kidogo.all the best mamaa..mrs.jp
ReplyDeleteis that martins sis?esther?waooh,she has grown into a beautiful young lady..jp,kazi ipo..hahaha
ReplyDeletemungu awatangulie na awape wana na mafanikio tele wadogo zangu.you dont know how proud you have made me..mama elia must be very happy. I bet it was the best wedding ya mwaka.
ReplyDeleteWalipendeza sana but but, picha zilikuwa very dark ukilingalisha na rangi waliyotumia ungetumia background ya light but was great job though !
ReplyDelete