GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Friday, March 18, 2011

Leo Ndio Kisura Grand Finale. Ndio tutajuwa nani ataibuka na ushindi. Na Asubuhi hii visura walikwenda kwa mbunifu wa mavazi Zilpa Nkurlu ambaye anatesa na lebo yake ya Zilpa


Namuona Zilpa Nkurlu akimtendea haki kisura. Yeye ni mkurugenzi wa Zily Fashions. Basi kama kuna nguo umeipenda anapatikana kwenye +255 658 195 525 Hata mambo ya harusi na Kitchen party yuko fiti sana

Zilpa akiwa kazini. Safi sana

Nice


Yani hapa kisura anajaribisha nguo kwa swagga. Kweli unatisha


Safi sana Naona Zilpa kakutendea haki

Kisura akitafakari. Hakika anasema I wish niwe mshindi

Safi

Safi


Nice

Maandalizi ya mwishomwisho ya jukwaa

Safi


Safi 


Safi sana