GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, March 10, 2011

Visura Wafanya ziara ndani ya Studio za GRM Production. Kama unavyojuwa GRM tunatengeneza kipindi cha kisura kinachoruka TBC jumatano na Jumapili.

Visura wakitowa swagga Ofisini kwangu

Kweli hawa ni warembo

Safi sana

Wakati Visura walipokuja  ndani ya Studio ya GRM Pro walitukuta  tunatengeneza kipindi cha Wanawake live kinachoruka EATV na kama kawa wakatowa swagga na Joyse. Host wakipindi

Namuona Producer wa kipindi cha wanawake live akitowa swagga 

Namuona na Matron akitowa swagga safi sana.

Kweli visura mko fiti. sijui nani ataibuka mshindi tusubiri final 18 

Visura wakiondoka kwa mwendo wa paka