GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 10, 2013

Makanisa Matatu (3) ya RC yaliyojengwa enzi hizooooooooo hapa Tanzania ni Haya Hapa

Hatimaye nimefanikiwa kulinuku hili kanisa la RC lililoko Bagamoyo. linazaidi ya miaka 250Kanisa la RC Bagamoyo. Nikivutio kikubwa kwa watali. Nitashanga kama kuna muumini wa RC anakaa DSM alafu anakwenda bagamoyo kupumzika alafu asipite hapa. Sio lazima usali japo kuangalia historia ya dini yako . Unalipa tsh 500 tuu.


Nikaona japo namimi nitowe swagga. Nimeambiwa hili ni kanisa la pili kujengwa Tanzania. Sasa hili na lile la kibosho lipi ni lapili kwa kujengwa Tanzania. Msaada kwa mtu mwenye details. Kanisa lakwanza kujengwa Tanzania liko kilema Moshi. Picha ziko hapo chiniKanisa la RC Kilema Moshi

Hili ni kanisa la Kwanza la RC kujengwa .Lina zaidi ya miaka 300
Nimekubali haya mazingira. Dah

Kweli hilikanisa linatunzwa

Hi gardern ni kama ile bustani ya .....


Kama Kawa Nikatowa swagga.


Kanisa la RC Kibosho. Hili liko Katika jiji langu la Moshi. 

Nalikubali sana ingawa mimi dini yangu sio RC ila lazima X-mass ya mwaka huu nikasali hapa

Sasa kitu ambacho sijajuwa ni, kati ya hili kanisa la Kibosho na la bagamoyo lipi limejengwa kabla ya mwenzake????


Safi sana
Ukipiga picha hapa unaweza ukasema uko Ufaransa. Sipati picha siku harusi inafungwa kwenye hili kanisa. Swagga zake zitakuwa hatari sana.


Huwa naipenda sana hi picha

Sasa natafuta kanisa la kwanza la Lutheran Kujengwa Tanzania. Sijui nilipi? Itabidi jumapili baada ya ibada nimuulize mchungaji. Au kama kuna mdau analijuwa ni lipi na liko wapi? naomba msaada. Pia msikiti wa kwanza kujengwa Tanzania ni upi??