GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, September 24, 2013

Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa. Onja kidogo jinsi alivyo -'nyakuwa Taji'.

Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa 

Hongera sana Happiness
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akiwa na mshindi wa pili   Latifa Mohamed and Mshindi watatu Clara Bayo

Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye Read MoreSafi sana

Warembo walio ingia tano boraLady Jay dee akiwasha moto-'Yahaya unaishi wapi.......'

Mwisho wa kunuku. Happiness tunakutakia mafanikio mema katika kupeperusha bendera ya Nchi yetu. Tuko pamoja.