GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, September 4, 2013

The Wedding of Priscus and Cristina. Onja kidogo jinsi mambo yalivyojiri!

Priscus na Cristina hakika walipendeza sana.

Kwa wale wadau wanao kaa Chuo kiku cha Dar es salaam, Survey, makongo, mwenge lazima utamfahamu huyu Priscus. Ni mfanyabiashara na anaduka lake pale survey(Mangi). Nakumbuka wakati nasoma Secondari and Chuo basi nilikuwa nanunua vitu mbalimbali kwenye duka lake.( Sukari, Mikate, majani ya chai nk) nakumbuka tulikuwa tunakopa.


Safi sana


Hakika Cristina alipendeza sana. Chezea mke wa MangiMaharusi wakiwa na Wasimamizi wao. Namuona bestman-(Respiki) na Matron pia nilipata  bahati ya kuwapiga picha siku walipofunga pingu zamaisha. Pia Bestman ni Mfanyabiashara maeneo ya survey, Naye anaduka lake na zani pia watu wamaeneo hayo niliyowataja hapo juu watakuwa wanapajua vizuri.

Swagga

Dah kweli maisha ya ndoa raha sana. Hapa ni siku Respiki(Bestman na Matron wa Priscus na Cristina) walipofunga pingu zamaisha. Naona sahivi kakitambi kameota na mama kanenepa. Safi chezea Machalari ya kichaga!!!
Katika vitu ambavyo watu hawatasahau kwenye hi harusi ni nyama na Vinywaji. Yani kwenye bufeeee unaanza na nyama, -wali, ndizi ndio kama kachumbari. kweli ulijipanga. Watu zaidi ya 1000 . Hongera kwa kamati


Bestman akimpongeza bwana harusi kwa kuingia kwenye chama. Ila kwakuwa wote niwafanyabiashara nakumbuka eti baada yakutoka kanisani Chuo-UDSM bwanaharusi alitaka kupitia dukani acheki mahesabu maramoja. Safi chezea mchaga na biashara

Kwa maswagga zaidi zama hapa kwenye read moreUpendo kwa wazaziNimekubali

Upendo kwa wazazi

Safi


Keki


Ukumbi wa Kiramo

Hi harusi ilikuwa inawatu zaidi ya watu 1000. yani maduka ya wachaga wote kinondoni yalifungwa. Kweli ilikuwa panda mti kata mti.Jamani Mwisho wakunuku.