GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, January 10, 2011

Siku George Kaseza na Abigail walipofunga pingu zamaisha. Hakika ilikuwa ni siku ya ainayake kwa wapendanao hawa pamoja na ndugu jamaa na marafiki. Ngoja nikuonjeshe kidogo uone mambo yalivyokuwa

George na My wife wake Abigail

Karibu Tanzania Mpora wetu Abigail.

George na my wife wake wakitowa swagga.

George na Best Man wake

Mpora umependeza sana. Nice
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Safi sanaWazazi wakitowa swagga.

Bi harusi akielekea sehemu itakayo fanyika ibada. 

Baba akimsindikiza binti yake kwenye sehemu maalumu iliyo andaliwa kwa ajili ya kufunga ndoa

Kwa taarifa tuu George na Abigail walifunga pingu zao Baharini. 

Namuona George akiwa makini kabisa

Watu walio shuhudia maharusi hawa wakipigana pingu

Mnakubali kufunga pingu ndio ndio.

George akimtandika pingu  Abigail

Abigail nae akamtandika George pingu

Pingu aliyo tandikwa George


George akisign Mkataba wa kuishi pamoja

Na Abigail naye akisign mkataba. 

Best man akimueleza George 'Kazi imekwesha karibu katika chama.

Maharusi wakipiga picha na Padri aliyefungisha ndoa

Picha ya Maharusi  na Matron


Mr and Mrs George Kaseza wakikata keki.

George akimueleza my wife wake 'unajua sasahivi hakuna haja ya viza kwenda Afrika Kusini. Kwahiyo mwambie baba yako asiwe na wasiwasi. Huko south nikama kwenda morogoro tuu. Kuanzia leo 8-01-2011 wewe ni Mtanzania

Maharusi wakipata msosi. Naona Mpora akifurahia chakula cha kitanzania.