GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, January 3, 2011

Ule Mchakato wa kutafuta mamodel waliotesa 2010 bado unaendelea. Sasa ilikupata top 20 lazima tuwacheki wakiwa kazini hapa ilikuwa ni show iliyo andalia na Mustafa Hasanal Harusi Trade Fair. Ilikuwa ni show ya wadau mbalimbali wa mambo ya harusi mfano Wapambaji ,DJ, Production companies ets . Kama Kawa GRM Production Tulikuweko Natutakuweko mwaka huu pia.

Alikuwa wakwanza kufungua maonyesho.Super


Safi

Huu Urefu kwenye Show yetu ya kisura unafaa sana.


Hawa ndio walio design nguo hizi. Bahati mbaya majina yao yamenitoka. Nikipata nita update

Vivazi hivi vinapatikana hapa bongo

Nice

Stage ilivyokuwa inaonekana. Hapa ni Dimond Jubilee