GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, January 3, 2011

Mustafa Hassanali Hakika ni Fashion Guru. Part 2 ya Harusi Trade Fair. Hapa bado naendelea kuwafuatilia hawa mamodel ilitujue ni nani kafunika 2010

Mustafa Aka Fashion Guru

Nakumbuka hapa alikuwa anawashukuru wadau mbali mbali walio kuja kushuhudia maonyesho.

Aksante sana dada umelitendea haki ili gauni

Sina chakusema

Umetenda haki dada

Hapa kama namkumbuka shamim 8020 huwa anasema Back in Africa. 

Safi kaka

Inabidi siku utakapo funga pingu uvae suti hii. Umeitendea haki

mambo ya pingu


Hili swagga nimelikubali


Safi sana

Haki imetendeka kwenye hili gauni

Hili gauni simchezo

Gauni lilivyokuwa Kwa nyuma

Kiubavu. Kweli hili gauni umelitenea haki. moja kwa moja unaingia kwenye top 20

Aj

Safi sana hata bila kuelezea moja kwa moja top 20

Gauni linavyo onekana kwa nyuma

Safi sana

Yani moja kwa moja top 20

Gauni linavyo onekana kwa nyuma

Dah Mustafa kama sijakosea hii ni collection yako

Mambo ya harusi hayo

Top 20 bila ubishi

safi

Dada ukiwa kazini hata hucheki. Safi sana

Aj aka Blackfox 

Safi sana see u in Harusi Trade Fair 2011. kama kawa grm tunakuwaga pale mlangoni mwanzo kabisa.