GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, January 27, 2011

Jamani Mwaka Mpya Pamba Mpya kiatu Kipya. Basi ukitaka kupata hivi viatu tembelea Duka la Viatuzi lililoko Ocean Road karibu na kituo cha mafuta cha BP. Nguo zinapatikana kutoka kwa Mbunifu wa mitindo Chichia London picha kama kawa GRM Production
Baada ya kazi kikosi kamili kilitowa swagga la pamoja

Namimi nikatoka nyuma ya kamera na kujumuika kwenye swagga la pamojaKabla ya photo shoot ma model walifanya makeup 

Namuona  Dada wa Viatuz akiwa makini kabisa akimfanyia makeup  Super model wetu Rain

Kwamawasiliano zaidi kuhusu Viatu na hereni, bangols, mikanda, necklace Basi ruka hewani number +255 715850855 au
www.viatuzi.blogspot.com