GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Thursday, January 6, 2011

Mchakato wa kumtafuta Kisura unazidi kupamba moto na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa Shinyanga

Kisura akitowa swagga

Jaji akimfanyia usaili kisura

Kisura akisikiliza maelekezo kutoka kwa jaji

Kisura akipozi baada ya kupewa semina kuhusu ukimwi na kupatiwa T shert ya Ishi

Kisura akipozi


Safi dada

Tupe swagga dadaPresenter akifanya mahojiano na kisura huku kijana wangu wa kazi akiwa makini kurekodi

Jaji akimfanyia usaili kisura

Kijana wangu Hamidu  akiwa kazini  

Kisura akitowa swagga