GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Tuesday, January 4, 2011

Ule mchakato wa kumtafuta kisura bado unaendelea na safari hii tuliingia Bukoba. Na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa.

Wakati tunajianda kwenda Bukoba tulikutana ka kisura mwanza ikabidi tufanye usaili mdogo

Swagga la kimwanza safi sana

Sato style

Baada ya kuwasili Bukoba presenter alifungua show

Visura wa Bukoba wakaanza kumiminika

Kisura akifanyiwa usaili

Kisura akiongea na presenter kabla Usaili haujaanza.

Kisura wa Bukoba

Majaji wakiwa makini katika usaili

Kisura akitowa swagga

Safi sana dada

Wacha bwana

Nimekubali kisura wakilisha vizuri Bukoba

Nipe mambo dada

Visura katika pozi la pamoja

Wakati mchakato ukiendelea tulipata show kutoka kwa msani kutoka Bukoba Mauwa Chenkule. Kama nimekosea jina samahani mama Mauwa

Safi sana

Naona na presenter aliweka Mic chini na akaanza  kuserebuka. 

Hata jaji nae alishindwa kujizuia.