GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Monday, January 24, 2011

Nimena ngaja niwakumbushe kuwa msikose kuangalia kipindi cha wanawake live tunachokitengeneza. Hichi kipindi kinaruka kila jumanne saa tatu usiku au kwakizungu 9:00 pm EATV.

Host wa kipindi chenyewe Joyse Kiria

Host mwenyewe akiwa anatafakari jambo

Tukiendelea kurekodi kipindi cha wanawake live katika Studio za Grm Production
Director Tyson akitowa maelekezo kwa Camera man wangu Lusubilo

Muonekano wa studio za GRM Production.

Huyu ni Producer wa kipindi cha wanawake Live. Hapa alikuwa anampigia simu mgeni ili aje kufanyiwa mahojiano

Setting ya light

Mgeni akifanyiwa mahojiano

Director Tyson akitowa maelekezo kwa mgeni