GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, June 1, 2011

Hatimaye Herbert.G. Liwali na Anna Mteleka wathibitisha maneno haya matakatifu "For this Reason a man will leave his father and mother ,and be united to his Wife and the two will become one Flesh"

Herbert na my wife wake Anna. Safi sana hakika walipendeza sana

Herbert.G na Anna. Safi sana

Maharusi wakishow love. Safi sana


Anna Wasimamizi. Safi sana


Anna Safi sana

Anna akiwa na wasimamizi wake

Herbert. G. na my wife wake Anna
Safi baba kama Obama
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Anna akiwa na Matron

Bestman akiwa na Marton. Wako kikaziBwana harusi akiwa na BestmanSafi sana  nawatakia maisha mema yenye furaha na upendo