GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Sunday, May 29, 2011

Siku Basil na Ivanna walipo join together in holy Matrimony. Nawaonjesha kidogo !

Basil na Ivanna

Safi sana hakika walipendeza sana

Nimelipenda swagga la Ivanna

Basil akimtandika pingu Ivanna

Kamati ya Maandalizi Safi sana


Basil akishow love safi kaka


The First Kiss

Nice

Kama Obama. Safi kaka


Pingu

Mr and Mrs


Pingu walizo Fungana. Safi sana


Maharusi wakionyesha mikataba ya kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe
Maharusi wakiwa na wasimamizi wao

Nice
Safi sana