![]() |
Wazee wa kazi. |
![]() |
Mauwa ya A-Town Safi sana |
![]() |
Wazee wa kazi. |
![]() |
Dah kweli huu ni mchezo wa kiume |
![]() |
Kweli kazi ya uwamuzi inahitaji moyo. maana waweza chezea kichapo |
![]() |
Nimekubali baba |
![]() |
Dah naona mchezaji akijiokowa |
![]() |
Kijana wangu Salehe akitowa swagga. |
![]() |
Mzee wa Documentary. simchezo nimekukubali |
![]() |
Kwawasio juwa huyu jama hapa kabeba kama Tsh 35 M. Nikimaanisha thamani za Camera alizobeba. Kama GX 100 Tano |
![]() |
Jama kabeba kama Rav 4 za 1999 tatu shingoni |
![]() |
Wazee wakiwa kazini |
![]() |
Nimekubali hili zoezi |
![]() |
Dah kweli huu mchezo kama afya haijasimama roho yaweza kutoka uwanjani |
![]() |
Dah Salehe na maswagga |
![]() |
Naona hapa Salehe akiruka hewani ukiwa ameka |
No comments:
Post a Comment