GRM Production

Contact: Email: makupag@gmail.com
Karibu katika Ulimwengu
wa GRM Production

Wednesday, May 4, 2011

Send Off Party ya Anna.Hakika alipendeza sana na Sherehe ilifana sana! GRM Production inakutakia maisha mema yenye Furaha na Upendo.

Bibi harusi Mtarajiwa Anna

Safi sana hakika umependeza

Bi Harusi mtarajiwa akiwa na Matron wake

Nice


Safi 
Nimekubali hili swaggaNimekubali
Upendo kwa Bibi

Upendo kwa Mama


NiceUpendo kwa kaka

Upendo kwa Baba

Wazazi waki show Love. Safi sana

Nazani hapa ni upendo kwa kaka
Safi Anna na Matron wakishow love!

Nimekubali hili swagga la Matron. Swagga la kipepeo!